Je unafahamu nchi tajiri zaidi barani Afrika 2

  • | BBC Swahili
    3,686 views
    Shirika la fedha duniani (IMF) limetoa orodha ya mwaka 2025 ya nchi tajiri zaidi na masikini barani Afrika. Je nchi yako ipo katika hii 5 bora ya nchi tajiri au ipo upande ule wa pili? @Scolar Kisanga ametuandalia tarifa #bbcswahili #kenya #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw