"Hata yule asiyetaka amani tutamlazimisha kuhakikisha nchi yetu ina amani"

  • | BBC Swahili
    7,426 views
    "Niendelee kuliekeza jeshi la polisi kuendelea kusimamia sheria, amani, hata yule asiyetaka amani sisi tutamlazimisha kuhakikisha nchi yetu ina amani na usalama" Serikali ya Tanzania imesema hakuna sheria iliyokiukwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ilipoamua kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kwa njia ya mtandao. #bbcswahili #tanzania #uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw