Polisi wachunguza kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, katika Dira ya dunia TV

  • | BBC Swahili
    5,928 views
    Jeshi la Polisi Dar es Salaam linachunguza tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), ambaye alijeruhiwa kichwani usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kurasini. Baraza la TEC limesikitishwa sana na kulaani tukio hilo.