WAANDAMANAJI WAFUNGA BARABARA YA KILGORIS-KISII WAKIDAI HAKI

  • | K24 Video
    167 views

    Usafiri kwenye barabara ya Kilgoris kuelekea Kisii ulitatizika baada ya wakazi kuandamana na kuifunga, wakitaka hatua za kisheria dhidi ya afisa wa GSU anayedaiwa kumsababishia kifo mhudumu wa bodaboda kwa kumkanyaga.