Genge la Washauri: Masuali yaibuliwa kuhusu washauri wa rais Ruto

  • | Citizen TV
    5,740 views

    Genge La Washauri Masuali Yaibuliwa Kuhusu Washauri Wa Rais Rais Ana Takriban Washauri Kumi Na Watano Hii Ni Licha Ya Kuahidi Kupunguza Washauri Rais Anaendelea Kuajiri Washauri Licha Ya Ahadi