Maoni ya Umma kuhusu NG-CDF, NG-AAF na utendakazi wa maseneta yatafutwa

  • | Citizen TV
    53 views

    Zoezi la kukusanya maoni kutoka kwa wakenya kuhalalisha hazina za NGCDF, NGAAF na ile ya utendakazi wa maseneta limeng’oa nanga nchini, likitarajiwa kufanikishwa katika maeneo bunge yote 290 ndani ya siku tatu zijazo.