Uchunguzi waendelea dhidi ya waliorusha kiatu kwa rais, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    1,502 views
    Maafisa wa polisi nchini Kenya wamewatia mbaroni watu watatu wanaoshukiwa kuhusika katika kisa cha kumrushia kiatu rais William Ruto alipokuwa akihutubia wananchi katika kaunti ya Migori, kusini magharibi mwa nchi hiyo.