Maafisa wanne wa United Arab Emirates na mwingine mkenya wauawa Sudan

  • | Citizen TV
    17,085 views

    Maafisa Wanne kutoka himaya ya milki za kiarabu na nahodha mmoja wa Kenya na mwengine wa Sudan wameripotiwa kuuwawa katika shambulizi Katika Uwanja wa Ndege wa Nyala, Sudan Kusini. Shambulizi hilo lililotekelezwa na Jeshi la Sudan linadaiwa kuwalenga maafisa hao ambao wanadaiwa kuhusika kuwahami wanachama wa kundi la RSF linalopigana na Jeshi la Taifa hiyo. Melita Oletenges anaarifu zaidi.