Mahakama Tanzania yaamuruLissu apelekwe mahakamani

  • | BBC Swahili
    108,655 views
    Mahakama nchini Tanzania imeamuru tarehe 19 Mei, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu apelekwe mahakamani kwa ajili ya kesi yake. Mawakili wa Lissu wanasema wamefurahishwa na uamuzi huo kwasababu kutopelekwa kwa Lissu mahakamani na kuzuiliwa kwa umma kungeanzisha kasumba mbaya. Kwa kupelekwa kwa Lissu mahakamani, Umma pia utaruhusiwa kwenda kusikiliza kama ambavyo sheria inavyoruhusu #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw