FCDC yaanzisha mafunzo ya kidijitali kwa walimu wa shule za msingi kaunti ya pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    182 views

    Maafisa kutoka Baraza la Maendeleo ya Kaunti kame FCDC wameanzisha mafunzo ya kidijitali kwa walimu wa shule za msingi kaunti ya pokot Magharibi.