KUPPET yapinga marekebisho kuhusu maeneo ya ugumu

  • | Citizen TV
    267 views

    Chama cha walimu cha KUPPET kimepinga hatua ya serikali ya kutoa kanuni zilizorekebishwa ya marupurupu ya maeneo yenye ugumu.