Wabunge wataka usalama kuimarishwe Baringo

  • | Citizen TV
    427 views

    Wabunge wa kaunti ya Baringo wameungana kwa sauti moja kulaani ongezeko la visa vya Uvamizi katika mpaka wa Baringo Kaskazini na Tiaty vilivyosababisha vifo vya watu 5 chini ya wiki mbili.