Wakaazi wa Nakuru watoa maoni yao kuhusu hazina ya NG-CDF

  • | Citizen TV
    76 views

    Zoezi La Kukusanya Maoni Kuhusu Hatma Ya Hazina Ya Cdf Limeendelea Sehemu Mbalimbali Nchini. Katika Kaunti Ya Nakuru, Wakaazi Wa Maeneo Bunge Ya Nakuru Magharibi, Bahati Na Njoro Wametoa Maoni Tofauti Kuhusiana Na Mustakabali Wa Hazina Hii. Zoezi La Kukusanya Maoni Kwenye Maeneo Bunge Yote Mia Mbili Tisini Linaendelea, Kama Maryanne Nyambura Anavyoarifu