Spika Moses Wetangula aongoza wabunge kuona mwili wa Charles Ong'ondo Were

  • | Citizen TV
    6,831 views

    Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula ameitaka idara ya mahakama kuhakikisha kuwa inachunguza kwa ukamilifu mauaji ya mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo Were na kuhakikisha wanaopatikana na hatia wanachukuliwa mkondo wa sheria.