Profesa Paul Wainaina Aitaka Serikali Kuwachilia Hospitali Ya Rufaa Ya KU

  • | NTV Video
    173 views

    Muhadhiri wa chuo kikuyu cha Kenyatta Profesa Paul Wainaina pamoja na muungano wa wanafunzi wa chuo hicho, wameitaka serikali kuwachilia huru hospitali ya rufaa ya KU ili wanafunzi wanaosomea maswala ya matibabu wapate nafasi ya mafunzo badala ya kwenda hospitali za nje kama ile ya Kiambu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya