Nani atamrithi Papa Francis?

  • | BBC Swahili
    17,798 views
    Makadinali 133 wa kanisa katoliki wamefungiwa ndani ya Kanisa la Sistine ili kuanza shughuli ya kumchagua Papa mpya. Viongozi hao wameombwa kumchagua Papa ambaye atalinda umoja wa kanisa katoliki hasa wakati ambapo unakabiliwa na mabadiliko makubwa katika historia yake. #bbcswahili #vatikani #papafrancis