Marufuku kusafirisha siafu, Kenya.

  • | BBC Swahili
    751 views
    Mahakama nchini Kenya imewahukumu watu wanne,vijana wawili wa Kibelgiji, raia wa Vietnam, na Mkenya mmoja -kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja (takriban dola 7,700) au kutumikia kifungo cha mwaka mmoja gerezani kwa kosa la kujaribu kusafirisha maelfu ya siafu wa aina ya QUEEN ANTS nje ya nchi. #bbcswahili #kenya #ulanguzi