Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Kasipul Charles On'gondo Were wafika Homa Bay

  • | Citizen TV
    879 views

    Hatimaye mwili wa aliyekuwa mbunge wa kasipul Charles On'gondo Were umepokelewa katika uwanja wa ndege wa kabunde.