Daktari Vera Ogembo ni kati ya Wakenya wanaoishi Marekani walio na ujumbe kuhusu uchaguzi mkuu

  • | VOA Swahili
    578 views
    Wakenya mbalimbali wanatoa maoni na ujumbe wao kwelekea kwa uchaguzi mkuu nchini mwao mnamo tarehe 9, Agosti, 2022, akiwemo Daktari Vera Ogembo, mkazi wa Olney, Maryland. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.