- 141 viewsVOA Swahili imekuwa ikikusanya maoni na ujumbe kutoka kwa Wakenya mbalimbali, wakiwemo wanaoishi nchini Marekani, kuhusiana na uchaguzi mkuu nchini Kenya, utakaofanyika Jumanne wiki ijayo. Leo tuwasikilize wasanii wawili, akiwemo mkazi wa mji wa Bowie, jimbo la Maryland, Anna Mwalagho. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Msanii Anna Mwalagho ni kati ya Wakenya walio na ujumbe kwelekea uchaguzi mkuu Jumanne
- 3 May 2024 - Detectives in Garissa have been granted 14 days to detain a suspected paedophile accused of molesting six children aged between 5 to 9 years.
- 3 May 2024 - The High Court has directed the government and the striking doctors to sign a return-to-work formula to be adopted by the court on Monday, May 6, 2024.
- 2 May 2024 - Three senior officials of the National Cereals and Produce Board (NCPB) charged in the fake fertilizer scandal have been freed on Ksh.1 million cash bail each.
- 2 May 2024 - The government of Kenya on Thursday warned that the Coastal region is likely to be hit by a tropical cyclone now christened ‘Hidaya’ within the next few days.
- 2 May 2024 - Police in Nairobi have arrested a man over his alleged involvement in the supply of 161,000kg of fake gold, which led to duping a Georgian national of over Ksh.822.2 million.
- 2 May 2024 - Kenya Power has announced a blackout affecting most parts of the country due to what it termed as a system disturbance,
- 2 May 2024 - Kenya Power has announced a blackout affecting most parts of the country due to what it termed as a system disturbance,
- 2 May 2024 - Over 1,000 households in Kibra Constituency affected by the ongoing floods on Wednesday received food distributions from First Lady Rachel Ruto.
- 2 May 2024 - The Kenya Meteorological Services has issued a continued heavy rainfall and strong winds advisory starting from Thursday through to Monday next week.
- 2 May 2024 - Temporary suspension affects Ruiru, Embakasi village, Lukenya and Syokimau routes.