Mahakama ya JKIA kuamua iwapo itasikiliza kesi ya mauaji ya mbunge wa Kasipul

  • | KBC Video
    254 views

    Mahakama ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, kesho itatoa uamuzi ikiwa ina uwezo wa kusikiza na kuamua ombi lililowasilishwa na washukiwa watano waliokamatwa kuhusiana na mauaji ya ya marehemu mbunge wa Kasipul, Charles Ong’ondo Were. Hii ni baada ya mawakili wa upande wa utetezi kupinga ukaribu pamoja na mamlaka ya mahakama hiyo katika kusikiza kesi hiyo kama ilivyowasilishwa na afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma . Haya yanajiri huku huduma ya taifa ya polisi ikisema uchunguzi umebainisha bunduki iliotumiwa kumuua mbunge huyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive