Biwi la simanzi latanda katika kijiji cha Arimi, Molo baada ya watu 7 kufariki katika ajali

  • | Citizen TV
    3,052 views

    Biwi la simazi limetanda katika kijiji cha Arimi huko Elburgon baada ya watu 8 kutoka kijiji hicho kuangamia katika ajali ya barabarani siku Alhamisi ambapo takriban watu 12 walipoteza maisha wakiwemo wanafunzi. Baadhi ya waathiriwa wa ajali hiyo wanasema serikali inapasw kuchukua hatua kudhibiti ajali za mara kwa mara katika eneo hilo.