Mkusanyiko wa taarifa kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    84 views

    Kulizuka kizaazaa wakati wa hafla ya kukabidhi kiwanda cha sukari cha Sony Sugar kwa kampuni ya utayarishaji sukari ya Busia, baada ya wafanyibiashara walioghabika kutaka warejeshewe malipo yaliyotolewa miezi mitano iliyopita, wakidai hawakupata sukari yoyote. Wakati uo huo, halmashauri ya kuhakikisha usalama wa vyakula vya kisaki kwa afya ya binadamu, wanyama na mazingira, imetetea usalama wa vyakula hivyo hapa nchini. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive