Naibu rais Kindiki asema serikali haina ushindani wowote na kanisa Katoliki

  • | KBC Video
    69 views

    Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amesema serikali haina ushindani wowote na kanisa Katoliki katika harakati za kuwahudumia wakenya hasa katika sekta za elimu, afya na ustawi wa kijamii. Kindiki alisema wajibu mkuu wa serikali yoyote ile ni kuwahudumia wananchi huku asasi nyingine zikitoa mchango wao. Akizungumza wakati wa ibada ya kutoa shukran katika kanisa la St. Theresa Riiji, dayosisi ya Meru, Kindiki wakati uo huo alitoa wito kwa viongozi wa kisiasa kukubali na kutii kanuni elekezi kuhusiana na utoaji wa michango katika makanisa mbalimbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive