Gachagua azungumzia uamuzi wa mahakama uliotangaza kuwa jopo lililomngatua ni kinyume cha sheria

  • | NTV Video
    2,813 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amevunja kimya chake kufuatia uamuzi wa Ijumaa wa mahakama ya rufaa, uliotangaza kuwa jopo la mahakama kuu lililoruhusu kuapishwa kwa mrithi wake profesa Kithure Kindiki liliundwa kinyume cha sheria.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya