Elvis Mushila, muuguzi anayeigiza kama mwendawazimu mitaani

  • | BBC Swahili
    3,127 views
    Elvis Mushila, ambaye kitaaluma ni muuguzi, amejitosa katika utengenezaji maudhui mtandaoni kwa kujifanya mwendawazimu. Mushila amefanikiwa sio tu kuvunja watu mbavu lakini hata kuumbua wanaojifanya kuwa walemavu. Asha Juma alikutana naye na kuandaa taarifa hii @brianmala #bbcswahili #sanaa #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw