- 1,713 viewsDuration: 2:41Mwalimu mmoja kaunti ya narok amesimamishwa kazi akisubiri uchunguzi wa kukiuka kanuni za mitihani huku shule moja ya upili kajiado ikichunguzwa kwa madai ya wizi wa mtihani wa kcse ulioanza leo kote nchini. Serikali pia ikihakikisha kuwa watahiniwa wote katika eneo la elgeyo marakwet, lililokumbwa na maporomoko ya ardhi, wanafanya mtihani huo.