Skip to main content
Skip to main content

Ziwa Naivasha lavunja kingo, mamia wapoteza makazi

  • | Citizen TV
    1,161 views
    Duration: 2:31
    Mamia ya familia zimeachwa bila makao katika mitaa ya Kamere na Karagita mjini Naivasha baada ya ziwa Naivasha kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Familia nyingi zimewachwa zikikadiria hasara wakitaka serikali kuwahamisha maeneo salama.