- 183 viewsDuration: 34sTimu ya ligi kuu ya taifa ya kandanda Murang'a seal inatarajia kutumia ushindi wao wa hivi majuzi dhidi ya kcb kama njia ya uzinduzi wa msimu bora baada ya kuanza vibaya. Murang'a ilikuwa imeshinda mechi moja pekee katika mechi sita kabla ya ushindi wa bao 2-1 dhidi ya KCB.