Skip to main content
Skip to main content

Viboko wasumbua wakazi wa Alungo, waharibu mashamba

  • | Citizen TV
    877 views
    Duration: 2:19
    Wanakijiji wa Alungo kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara baada ya viboko kuvamia mashamba yao. Wamakijiji hao wanasema kuwa viboko hao ambao hujitokeza usiku wameongezeka msimu huu wa mvua na sasa wanahofia kuwa huenda wakavamia binadamu. wakazi hao sasa wamelazimika kukesha kulinda mashamba yao