- 5,643 viewsDuration: 2:39Hali ya wasiwasi imeendelea kugubika maeneo ya mpaka wa Pokot magharibi na Turkana kufuatia vifo vya zaidi ya watu 10 katika kipindi cha wiki mbili zilizopita. Hali hii ikiweka hatarini maisha ya wanahabari waliojipata kwenye ati ati hii ya usalama.