Kaunti ya Bomet yaanzisha mpango wa kuhusisha jamii katika upanzi na utunzaji wa miti

  • | Citizen TV
    140 views

    Kaunti ya Bomet imeanzisha mpango wa kuhusisha jamii katika upanzi na utunzaji wa miti kama njia moja ya kufikia malengo ya serikali kupanda miti bilioni 15 ifikapo mwaka wa 2032.