Shule ya upili Ya wavulana ya Bukhalarire yafungwa baada ya bweli kuteketea

  • | Citizen TV
    600 views

    Shule Ya Upili Ya Wavulana Ya Bukhalarire Iliyoko Katika Eneo Bunge La Butula Kaunti Ya Busia Imefungwa Ghafla Kutokana Na Mkasa Wa Moto Ulioteketeza Bweni Moja Usiku Wa Kuamkia Jumatatu.