Wahudumu wa afya kwa wote waandamana jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    1,531 views

    Wahudumu Wa Afya Ya Umma Walia Wahudumu Wa Afya Kwa Wote Waandamana Jijini Nairobi Wanataka Walipwe Bahashishi Ya Miaka Mitano Wanalalamika Kuwa Wanabaguliwa Na Wizara Ya Afya Wahudumu Wa Uhc Wanataka Wote Wapewe Ajira Ya Kudumu