MATATIZO YA AKILI YA WANAFUNZIWANAFUNZI WENGI WANA MATATIZO YA AKILI KAUNTI YA MIGORI

  • | Citizen TV
    153 views

    Shirika la tunaweza empowerment, katika kaunti ya Migori kwa ushirikiano na wizara ya elimu, wizara ya afya na Taasisi ya Shamiri limeanzisha uhamasishaji wa afya ya akili unaowalenga wanafunzi wa shule za sekondari.