Makundi ya wanawake katika Kaunti ya Kilifi yapokea ruzuku ya shilingi milioni 1.8

  • | Citizen TV
    198 views

    Makundi ya wanawake katika Kaunti ya Kilifi yamepokea ruzuku ya shilingi milioni 1.8 ili kusaidia miradi yao ya kujiongezea kipato.