Mzozo wa uongozi waendelea kutokota katika bunge la kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    135 views

    Mzozo wa uongozi unaendelea kutokota katika bunge la kaunti ya Nyamira huku mirengo miwili ikiendelea kung'ang'ania uongozi wa bunge hilo na kutatiza huduma kwa wananchi. Mzozo huo unaendelea licha ya kamati ya seneti kutoa muongozo wa jinsi ya kutaua matataizo ya uongozi huko Nyamira. Duncan Bundi ametuandalia taarifa ifuatayo.