Wakaazi wa nyumba za serikali wafurushwa Ngara

  • | Citizen TV
    100 views

    Hali Ya Taharuki Imetanda Katika Mtaa Wa Ngara Baada Ya Maafisa Wa Serikali Ya Kaunti Kufika Na Kuanza Kuwafurusha Wapanganji Wanaodai Hawajalipa Kodi Za Nyumba Kwa Miaka Kadhaa.