Dhuluma za kijinsia zaongezeka nchini

  • | Citizen TV
    84 views

    DHULUMA za kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana zimeendelea kuongezeka kutoka waathiriwa 550 hadi 570 kati ya Mwaka wa 2023-2024 nchini.