Kamati ya afya ya kaunti ya Nairobi yatangaza kufungwa kwa maduka yote makuu ya Naivas

  • | NTV Video
    2,327 views

    Kamati ya afya ya kaunti ya nairobi hii leo imetangaza kufungwa mara moja kwa maduka yote makuu ya naivas jijini nairobi kutokana na mauzo ya bidhaa ambazo muda wake wa matumizi umeisha.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya