Kwaheri Charles Hillary!

  • | BBC Swahili
    1,300 views
    Mwanahabari na mtangazaji nguli wa zamani wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Charles Hillary amezikwa nyumbani kwake Kisiwani Zanzibar hii leo. Kwaheri ya kuonana Charles.