Wawakilishi wadi wakabana koo Bungeni Busia

  • | Citizen TV
    435 views

    Wawakilishi wadi wakabana koo Bungeni Busia

    Vurumai Ilizuka Katika Bunge La Kaunti Ya Busia Kwa Mara Ya Pili Chini Ya Miezi Miwili Baada Ya Wawakilishi Wadi Wawili Kutofautiana Na Kuanza Kupigana Ndani Ya Bunge Hilo.