VURUGU ZASHUHUDIWA DAKIKA CHACHE BAADA YA GACHAGUA KUZINDUA CHAMA CHA DCP

  • | K24 Video
    7,467 views

    Vurugu zilishuhudiwa dakika chache baada ya Gachagua kuzindua chama chake, polisi walilazimika kutumia vitoa machozi.