Vurugu zashuhudiwa na wahuni kwenye uzinduzi wa chama cha Gachagua

  • | TV 47
    1,310 views

    Vurugu zashuhudiwa kwenye uzinduzi wa chama cha Gachagua.

    Baadhi ya wahuni wanakisiwa kujaribu kuharibu mkutano huo.

    Maafisa wa polisi walifyatua risasi hewani kutawanya umati.

    Baadhi ya waandishi wa habari wamejeruhiwa kutokana na kisa hicho.

    Uongozi wa chama cha DCP haujatoa taarifa kuhusu tukio hilo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __