Wanawake waanza kujitokeza kwa wingi kujiunga na elimu ya nishati safi

  • | Citizen TV
    16 views

    Katika juhudi za kukuza matumizi ya nishati safi na kupambana na mabadiliko ya tabianchi, wanawake wameanza kujitokeza kwa wingi kujiunga na elimu ya nishati safi katika maeneo mbalimbali nchini.