GACHAGUA AZINDUA CHAMA KIPYA CHA DCP

  • | K24 Video
    3,612 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezindua rasmi chama chake kipya kiitwacho Democracy for Citizens Party (DCP) katika makao makuu jijini Nairobi. Akiwahutubia wanachama, alisema uzinduzi huo umefuatia mikutano ya miezi sita iliyolenga kukipa chama mwelekeo. Gachagua alidai kuwa DCP ndicho chama kitakachokomboa taifa la Kenya.