4 Nov 2025 10:17 am | Citizen TV 203 views Duration: 57s Wizara ya Afya, kwa ushirikiano na Shirika la Clubfoot Care Kenya, imeadhimisha miaka 20 ya kutoa huduma inayobadilisha maisha kwa watoto waliozaliwa na miguu iliyopinda.