Kombe la AFCON U20 nusu fainali

  • | Citizen TV
    220 views

    Afrika kusini itakutana na Moroko kwenye fainali ya Kombe la Mataifa bora ya Afrika chini ya umri wa miaka 20 baada ya timu zote mbili kushinda mechi zao za nusu fainali . Moroko iliwaondoa wenyeji Misri huku Afrika Kusini ikiishinda Nigeria.