Uhifadhi wa chemichemi

  • | Citizen TV
    59 views

    Maafisa kutoka vitengo mbalimbali ikiwemo shirika la Msitu KFS, NEMA pamoja na Serikali ya Kaunti ya Nandi wamerejesha zaidi ya ekari tano za chemichimi ya Matambach.