SIRI YA UPARA: KWA NINI WANAUME WA KENYA WANACHUKUA HATUA YA KUREJESHA NYWELE

  • | K24 Video
    27 views

    Kupoteza nywele kwa wanaume au upara mara nyingi huchukuliwa kama jambo la kawaida katika uzee. lakini kwa wengi, ni changamoto ya binafsi inayopunguza kujiamini kwao, hapa nchini Kenya, idadi inayoongezeka ya wanaume sasa wanageukia upandikizaji wa nywele si tu kurejesha nywele, bali pia heshima na imani yao binafsi.